# Sentensi Unganishi Chakulani, Yesu anazungumza na Mafarisayo na waandishi. # Nyumbani mwake "kwenye nyumba ya Lawi" # walioketi mezani Aina ya Kigiriki ya kula kwenye karamu ilikuwa kuegemea kochi na kujihimili peke yako kwa mkono wa kushoto kwenye baadhi ya mito ." au " "kwenye meza"kukaa mezani" # kwa wanafunzi wake "kwa wanafunzi wa Yesu" # Kwa nini unakula ... kwa mtu mwenye dhambi? Mafarisayo na Waandishi waliuliza haya kudhihirisha kutoridhishwa kwao kwamba Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanakula na wenye dhambi. NI: "Huwezi kula na wenye dhambi!" # mnakula na kunywa pamoja ... watu wenye dhambi Mafarisayo na waandishi waliamini kwamba watu wa dini wanapaswa kujitenga na watu waliowaona kuwa ni wenye dhambi. Neno "wewe" ni wingi. # Watu ambao ni wazima ... wagonjwa Yesu anadhihirisha hii kama mithali. # Tabibu daktari atibuye " au" daktari" # ni ambao wanaumwa tu Maneno "inahitaji" yanaeleweka kutoka kirai kilichotangulia. NI: "ni wale wagojwa tu wanamwitaji" # watu wenye haki Baadhi ya watu walifikiri wanahaki. Yesu anarejea kwa hao kwa namna walivyofikiri kuhusu wao wenyewe ingawaje alijua kwamba hawakuwa wenye haki. NI: "watu wafikirio wanahaki"