sw_tn/luk/05/27.md

601 B

Sentensi Unganishi:

Yesu alipoondoka nyumbani, anamwita Lawi, Myahudi mtoza ushuru amfuate. Lawi anaandaa mlo kwaajili ya Yesu uliowakera mafarisayo na waandishi.

Baada ya mambo hayo kutokea

Kirai "vitu hivi" kinamaanisha kilichotokea kwenye mistari iliyopita. Ishara hii ni tukio jipya.

akamwona mtoza ushuru

"akamwangalia mtoza ushuru kwa umakini "au" alimwangalia mtoza ushuru kwa uangalifu"

Nifuate

Kufuata mtu ilikuwa ni kauli imaanishayo kuwa mwanafunzi. NI: "Kuwa mwanafunzi wangu "au" njoo, nifuate kama mwalimu wako"

Acha vyote nyuma

"akaacha kazi yake kama mtoza ushuru"