sw_tn/luk/05/27.md

20 lines
601 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Yesu alipoondoka nyumbani, anamwita Lawi, Myahudi mtoza ushuru amfuate. Lawi anaandaa mlo kwaajili ya Yesu uliowakera mafarisayo na waandishi.
# Baada ya mambo hayo kutokea
Kirai "vitu hivi" kinamaanisha kilichotokea kwenye mistari iliyopita. Ishara hii ni tukio jipya.
# akamwona mtoza ushuru
"akamwangalia mtoza ushuru kwa umakini "au" alimwangalia mtoza ushuru kwa uangalifu"
# Nifuate
Kufuata mtu ilikuwa ni kauli imaanishayo kuwa mwanafunzi. NI: "Kuwa mwanafunzi wangu "au" njoo, nifuate kama mwalimu wako"
# Acha vyote nyuma
"akaacha kazi yake kama mtoza ushuru"