sw_tn/luk/05/15.md

394 B

Taarifa kumhusu yeye

"habari kuhusu Yesu." Hii pengine ingemaanisha "taarifa kuhusu uponyaji mtu kwa Yesu" au "taarifa kuhusu Yesu kuponya watu."

taarifa kuhusu yeye zilisambaa zaidi na zaidi

"taarifa kuhusu yeye zilizagaa sana" au "watu waliendelea kuzisema habari kuhusu yeye katika maeneo mengine"

maeneo yaliyotengwa

"maeneo ya pekee" au "maeneo ambapo hapakuwa na watu wengine"