# Taarifa kumhusu yeye "habari kuhusu Yesu." Hii pengine ingemaanisha "taarifa kuhusu uponyaji mtu kwa Yesu" au "taarifa kuhusu Yesu kuponya watu." # taarifa kuhusu yeye zilisambaa zaidi na zaidi "taarifa kuhusu yeye zilizagaa sana" au "watu waliendelea kuzisema habari kuhusu yeye katika maeneo mengine" # maeneo yaliyotengwa "maeneo ya pekee" au "maeneo ambapo hapakuwa na watu wengine"