sw_tn/luk/05/15.md

12 lines
394 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa kumhusu yeye
"habari kuhusu Yesu." Hii pengine ingemaanisha "taarifa kuhusu uponyaji mtu kwa Yesu" au "taarifa kuhusu Yesu kuponya watu."
# taarifa kuhusu yeye zilisambaa zaidi na zaidi
"taarifa kuhusu yeye zilizagaa sana" au "watu waliendelea kuzisema habari kuhusu yeye katika maeneo mengine"
# maeneo yaliyotengwa
"maeneo ya pekee" au "maeneo ambapo hapakuwa na watu wengine"