sw_tn/luk/05/14.md

439 B

kutomwambia mtu

Hii tafsiri inaweza ikanukuiwa moja kwa moja. "kutomwambia mtu kwamba wewe umeponywa." Ni "Kutokusema kwa yeyote."

dhabihu kwa utakaso wako

Sheria inamtaka mtu kufanya dhabihu maalumu baada ya utakaso wao. Hii ilimruhusu mtu kuwa safi kitaratibu, na kuweza tena kushiriki katika desturi kidini.

kwa ushuhuda

"Hii inathibitisha uponyaji wako""

Kwao

Maana zinazowezekana 1) "kwa makuhani" 2) "kwa watu wote"