# kutomwambia mtu Hii tafsiri inaweza ikanukuiwa moja kwa moja. "kutomwambia mtu kwamba wewe umeponywa." Ni "Kutokusema kwa yeyote." # dhabihu kwa utakaso wako Sheria inamtaka mtu kufanya dhabihu maalumu baada ya utakaso wao. Hii ilimruhusu mtu kuwa safi kitaratibu, na kuweza tena kushiriki katika desturi kidini. # kwa ushuhuda "Hii inathibitisha uponyaji wako"" # Kwao Maana zinazowezekana 1) "kwa makuhani" 2) "kwa watu wote"