sw_tn/luk/05/14.md

16 lines
439 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kutomwambia mtu
Hii tafsiri inaweza ikanukuiwa moja kwa moja. "kutomwambia mtu kwamba wewe umeponywa." Ni "Kutokusema kwa yeyote."
# dhabihu kwa utakaso wako
Sheria inamtaka mtu kufanya dhabihu maalumu baada ya utakaso wao. Hii ilimruhusu mtu kuwa safi kitaratibu, na kuweza tena kushiriki katika desturi kidini.
# kwa ushuhuda
"Hii inathibitisha uponyaji wako""
# Kwao
Maana zinazowezekana 1) "kwa makuhani" 2) "kwa watu wote"