sw_tn/luk/04/42.md

24 lines
604 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Ingawa watu walitaka Yesu abaki Kapernaumu, anakwenda kuhubiri kwenye masinagogi mengine Uyahudi.
# ilipofika mapambazuko
"wakati wa jua kuchomoza"
# mahali palipo jitenga
"mahali pa pekee" au "mahali pasipokuwa na watu"
# kwa miji mingi mingine
"kwa watu katika miji mingine mingi"
# hii ni sababu nilikuwa nimetumwa hapa
Hii inaweza ikawekwa kwenye kauli tendaji, NI: "hii ni sababu Mungu alinituma hapa mimi"
# Uyahudi
Tangu Yesu awe Galilaya, neno "Uyahudi" hapa huenda linarejea kwenye ukanda wote ambako Wayahudi waliishi wakati huo, NI: "ambapo waliishi Wayahudi"