sw_tn/luk/04/42.md

604 B

Sentensi Unganishi:

Ingawa watu walitaka Yesu abaki Kapernaumu, anakwenda kuhubiri kwenye masinagogi mengine Uyahudi.

ilipofika mapambazuko

"wakati wa jua kuchomoza"

mahali palipo jitenga

"mahali pa pekee" au "mahali pasipokuwa na watu"

kwa miji mingi mingine

"kwa watu katika miji mingine mingi"

hii ni sababu nilikuwa nimetumwa hapa

Hii inaweza ikawekwa kwenye kauli tendaji, NI: "hii ni sababu Mungu alinituma hapa mimi"

Uyahudi

Tangu Yesu awe Galilaya, neno "Uyahudi" hapa huenda linarejea kwenye ukanda wote ambako Wayahudi waliishi wakati huo, NI: "ambapo waliishi Wayahudi"