sw_tn/luk/04/40.md

546 B

alilaza mkono wake juu

"aliweka mkono wake juu" au "aligusa"

Pepo pia yakatoka nje

Hii ilimaanisha kwamba Yesu aliyafanya mapepo yaondoke kwa watu yaliokuwa yamewatawala. Hii inaweza kusemwa wazi. NI: "Yesu pia aliyalazimisha mapepo yatoke"

analia kwa sauti na akisema

inamaanisha kitu kilekile, na huenda inarejea kulia kwa hofu au hasira. Baadhi ya tafsiri inatumia neno moja. NI: "paza sauti"

Mwana wa Mungu

Hiki ni cheo mhimu kwa Yesu.

alikemea pepo

"aliwaambia pepo kwa ukali"

usingeliwaruhusu

"Wao hapana kuwaruhusu"