# alilaza mkono wake juu "aliweka mkono wake juu" au "aligusa" # Pepo pia yakatoka nje Hii ilimaanisha kwamba Yesu aliyafanya mapepo yaondoke kwa watu yaliokuwa yamewatawala. Hii inaweza kusemwa wazi. NI: "Yesu pia aliyalazimisha mapepo yatoke" # analia kwa sauti na akisema inamaanisha kitu kilekile, na huenda inarejea kulia kwa hofu au hasira. Baadhi ya tafsiri inatumia neno moja. NI: "paza sauti" # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo mhimu kwa Yesu. # alikemea pepo "aliwaambia pepo kwa ukali" # usingeliwaruhusu "Wao hapana kuwaruhusu"