sw_tn/luk/04/40.md

24 lines
546 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# alilaza mkono wake juu
"aliweka mkono wake juu" au "aligusa"
# Pepo pia yakatoka nje
Hii ilimaanisha kwamba Yesu aliyafanya mapepo yaondoke kwa watu yaliokuwa yamewatawala. Hii inaweza kusemwa wazi. NI: "Yesu pia aliyalazimisha mapepo yatoke"
# analia kwa sauti na akisema
inamaanisha kitu kilekile, na huenda inarejea kulia kwa hofu au hasira. Baadhi ya tafsiri inatumia neno moja. NI: "paza sauti"
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo mhimu kwa Yesu.
# alikemea pepo
"aliwaambia pepo kwa ukali"
# usingeliwaruhusu
"Wao hapana kuwaruhusu"