sw_tn/luk/04/38.md

40 lines
980 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Yesu bado yuko Kapernaumu, lakini sasa yuko katika nyumba ya Simoni, alipomponya mama mkwe wa Simoni na watu wengi.
# Ndipo Yesu akaondoka
Hii inaanzisha tukio jipya
# Mama mkwe wa Simoni
Mkwe - "mama yake mke wa Simoni"
# Alikuwa anaumwa
Hii ni nahau inayomaanisha "alikuwa anaugua"
# homa kali
"mwili wake ulikuwa na joto kali"
# kusihi badala yake
Maana yake walimwomba Yesu amponye homa yake. Hii inaweza kusemwa wazi. NI: "kumwomba Yesu amponye homa"
# Hivyo alisimama
Neno "Hivyo" linaweka wazi kwamba alifanya hivi kwa sababu watu walimsihi badala ya mama mkwe wa Simoni.
# alisimama kwake
"alikwenda kwake na aliegama kwake"
# liikemea homa
"alisema kwa kuikaripia homa" au "aliamuru homa kumwacha" UDB. Itakuwa ni msaada kusema wazi alichoiambia homa kufanya. NI: "aliiamuru ngozi kupoa" "aliuamuru ugonjwa kumwacha"
# alianza kuwahudumia
Hapa hii inamaana alianza kuandaa chakula kwaajili ya Yesu na watu wengine ndani ya nyumba.