sw_tn/luk/04/38.md

980 B

Sentensi Unganishi

Yesu bado yuko Kapernaumu, lakini sasa yuko katika nyumba ya Simoni, alipomponya mama mkwe wa Simoni na watu wengi.

Ndipo Yesu akaondoka

Hii inaanzisha tukio jipya

Mama mkwe wa Simoni

Mkwe - "mama yake mke wa Simoni"

Alikuwa anaumwa

Hii ni nahau inayomaanisha "alikuwa anaugua"

homa kali

"mwili wake ulikuwa na joto kali"

kusihi badala yake

Maana yake walimwomba Yesu amponye homa yake. Hii inaweza kusemwa wazi. NI: "kumwomba Yesu amponye homa"

Hivyo alisimama

Neno "Hivyo" linaweka wazi kwamba alifanya hivi kwa sababu watu walimsihi badala ya mama mkwe wa Simoni.

alisimama kwake

"alikwenda kwake na aliegama kwake"

liikemea homa

"alisema kwa kuikaripia homa" au "aliamuru homa kumwacha" UDB. Itakuwa ni msaada kusema wazi alichoiambia homa kufanya. NI: "aliiamuru ngozi kupoa" "aliuamuru ugonjwa kumwacha"

alianza kuwahudumia

Hapa hii inamaana alianza kuandaa chakula kwaajili ya Yesu na watu wengine ndani ya nyumba.