sw_tn/luk/04/35.md

24 lines
830 B
Markdown

# Yesu alikemea pepo, akisema
"Yesu alikemea pepo akisema," au "Yesu bila huruma alisema kwa pepo"
# toka nje yake
Yeye alimwamuru pepo kutokumtawala mtu. NI: "mwache peke yake" au "usiishi ndani ya mtu huyu tena"
# Haya ni maneno ya aina gani?
Watu wanadhihirisha jinsi walivyoshangazwa kwamba Yesu anamamlaka kuamuru pepo kumwacha mtu. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: "Haya maneno yanashangaza!" au "maneno yake ya ajabu"
# Anaamuru roho wachafu kwa mamlaka na nguvu
"Yeye anamamlaka na nguvu kuamuru roho wachafu"
# Habari kumhusu zilianza kuenea ... kanda inayozunguka
Hii ni amri kuhusu kile kilichotokea baada ya simulizi ambacho kilisababishwa na matukio ndani ya hadithi yenyewe.
# habari kumhusu yeye zilianza kuenea
"taarifa kuhusu Yesu zilianza kuenea" au "watu walianza kueneza habari kuhusu Yesu"