sw_tn/luk/04/35.md

830 B

Yesu alikemea pepo, akisema

"Yesu alikemea pepo akisema," au "Yesu bila huruma alisema kwa pepo"

toka nje yake

Yeye alimwamuru pepo kutokumtawala mtu. NI: "mwache peke yake" au "usiishi ndani ya mtu huyu tena"

Haya ni maneno ya aina gani?

Watu wanadhihirisha jinsi walivyoshangazwa kwamba Yesu anamamlaka kuamuru pepo kumwacha mtu. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: "Haya maneno yanashangaza!" au "maneno yake ya ajabu"

Anaamuru roho wachafu kwa mamlaka na nguvu

"Yeye anamamlaka na nguvu kuamuru roho wachafu"

Habari kumhusu zilianza kuenea ... kanda inayozunguka

Hii ni amri kuhusu kile kilichotokea baada ya simulizi ambacho kilisababishwa na matukio ndani ya hadithi yenyewe.

habari kumhusu yeye zilianza kuenea

"taarifa kuhusu Yesu zilianza kuenea" au "watu walianza kueneza habari kuhusu Yesu"