# Yesu alikemea pepo, akisema "Yesu alikemea pepo akisema," au "Yesu bila huruma alisema kwa pepo" # toka nje yake Yeye alimwamuru pepo kutokumtawala mtu. NI: "mwache peke yake" au "usiishi ndani ya mtu huyu tena" # Haya ni maneno ya aina gani? Watu wanadhihirisha jinsi walivyoshangazwa kwamba Yesu anamamlaka kuamuru pepo kumwacha mtu. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. NI: "Haya maneno yanashangaza!" au "maneno yake ya ajabu" # Anaamuru roho wachafu kwa mamlaka na nguvu "Yeye anamamlaka na nguvu kuamuru roho wachafu" # Habari kumhusu zilianza kuenea ... kanda inayozunguka Hii ni amri kuhusu kile kilichotokea baada ya simulizi ambacho kilisababishwa na matukio ndani ya hadithi yenyewe. # habari kumhusu yeye zilianza kuenea "taarifa kuhusu Yesu zilianza kuenea" au "watu walianza kueneza habari kuhusu Yesu"