sw_tn/luk/04/33.md

718 B

Sasa ... alikuwepo mtu

Kirai hiki kinatumika kudokeza utangulizi wa mhusika mpya ndani ya simulizi; katika suala hili, mtu aliyepagawa pepo.

ambaye alikuwa na pepo mchafu

"ambaye alipagawa na pepo mchafu" au "ambaye alitawaliwa na na roho mchafu" (UDB)

alilia kwasauti ya juu

"yeye alipiga kelele"

Tunanini cha kufanya na wewe

Hili jibu la kichokozi ni nahau ambayo inamaana: "Nini tulichonacho cha kufanana?" au "unahaki gani ya kutusumbua sisi?"

Nini cha kufanya na wewe, Yesu wa Nazarethi?

Swali hili lingeandikwa kama sentensi. NI: "Nini wewe, Yesu wa Nazarethi, unataka kutufanyia" au Hakuna chochote cha kufanya na wewe, Yesu wa nazarethi!" au "Huna haki kutusumbua sisi, Yesu wa Nazarethi!"