sw_tn/luk/04/33.md

20 lines
718 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa ... alikuwepo mtu
Kirai hiki kinatumika kudokeza utangulizi wa mhusika mpya ndani ya simulizi; katika suala hili, mtu aliyepagawa pepo.
# ambaye alikuwa na pepo mchafu
"ambaye alipagawa na pepo mchafu" au "ambaye alitawaliwa na na roho mchafu" (UDB)
# alilia kwasauti ya juu
"yeye alipiga kelele"
# Tunanini cha kufanya na wewe
Hili jibu la kichokozi ni nahau ambayo inamaana: "Nini tulichonacho cha kufanana?" au "unahaki gani ya kutusumbua sisi?"
# Nini cha kufanya na wewe, Yesu wa Nazarethi?
Swali hili lingeandikwa kama sentensi. NI: "Nini wewe, Yesu wa Nazarethi, unataka kutufanyia" au Hakuna chochote cha kufanya na wewe, Yesu wa nazarethi!" au "Huna haki kutusumbua sisi, Yesu wa Nazarethi!"