# Sasa ... alikuwepo mtu Kirai hiki kinatumika kudokeza utangulizi wa mhusika mpya ndani ya simulizi; katika suala hili, mtu aliyepagawa pepo. # ambaye alikuwa na pepo mchafu "ambaye alipagawa na pepo mchafu" au "ambaye alitawaliwa na na roho mchafu" (UDB) # alilia kwasauti ya juu "yeye alipiga kelele" # Tunanini cha kufanya na wewe Hili jibu la kichokozi ni nahau ambayo inamaana: "Nini tulichonacho cha kufanana?" au "unahaki gani ya kutusumbua sisi?" # Nini cha kufanya na wewe, Yesu wa Nazarethi? Swali hili lingeandikwa kama sentensi. NI: "Nini wewe, Yesu wa Nazarethi, unataka kutufanyia" au Hakuna chochote cha kufanya na wewe, Yesu wa nazarethi!" au "Huna haki kutusumbua sisi, Yesu wa Nazarethi!"