sw_tn/luk/04/31.md

24 lines
554 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Yesu anakwenda Kapernaumu, anafundisha watu katika Sinagogi huko, na anaamuru mapepo kuondoka kwa mtu.
# Ndipo yeye
"ndipo Yesu." Hii inaashiria tukio jipya.
# alishuka Kapernaumu
Kirai hiki "shuka chini" ilitumika hapa sababu Kapernaumu ni chini kuliko Nazarethi.
# Kapernaumu, ni mji katiaka Galilaya
"Kapernaumu, mji mwingine katika Galilaya"
# liostaajabisha
"lishangaa sana" au "liovutia sana" au "lioshangaza "
# alizungumza kwa mamlaka
"alizungumza kama mtu mwenye mamlaka" au "maneno yake yalikuwa na nguvu kubwa"