sw_tn/luk/04/31.md

554 B

Sentensi Unganishi

Yesu anakwenda Kapernaumu, anafundisha watu katika Sinagogi huko, na anaamuru mapepo kuondoka kwa mtu.

Ndipo yeye

"ndipo Yesu." Hii inaashiria tukio jipya.

alishuka Kapernaumu

Kirai hiki "shuka chini" ilitumika hapa sababu Kapernaumu ni chini kuliko Nazarethi.

Kapernaumu, ni mji katiaka Galilaya

"Kapernaumu, mji mwingine katika Galilaya"

liostaajabisha

"lishangaa sana" au "liovutia sana" au "lioshangaza "

alizungumza kwa mamlaka

"alizungumza kama mtu mwenye mamlaka" au "maneno yake yalikuwa na nguvu kubwa"