# Sentensi Unganishi Yesu anakwenda Kapernaumu, anafundisha watu katika Sinagogi huko, na anaamuru mapepo kuondoka kwa mtu. # Ndipo yeye "ndipo Yesu." Hii inaashiria tukio jipya. # alishuka Kapernaumu Kirai hiki "shuka chini" ilitumika hapa sababu Kapernaumu ni chini kuliko Nazarethi. # Kapernaumu, ni mji katiaka Galilaya "Kapernaumu, mji mwingine katika Galilaya" # liostaajabisha "lishangaa sana" au "liovutia sana" au "lioshangaza " # alizungumza kwa mamlaka "alizungumza kama mtu mwenye mamlaka" au "maneno yake yalikuwa na nguvu kubwa"