sw_tn/luk/04/16.md

20 lines
694 B
Markdown

# mahali yeye alipokuziwa
mahali wazazi wake walipomlelea " au "pale alipoishi alipokuwa mdogo" "mahali alipokulia"
# kama ilivyokuwa desturi yake
"kama alivyofanya kila sabato." ilikuwa siyo mazoea ya kawaida kwenda kwenye sinagogikwenye siku ya sabato.
# Yeye alipewa Gombo la nabii Isaya
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "mtu fulani alimpa gombo la nabii Isaya"
# Gombo la nabii Isaya
Hii inarejea kwenye kitabu cha Isaya imeandikwa kwenye gombo. Isaya aliandika maneno miaka mingi kabla, na mtu fulani mwingine aliyanukuru kwenye gombo.
# mahali ambapo palikuwa pameandikwa
"mahali katika gombo palipo na maneno haya." Sentensi hii inaendelea katika mstari unaofuata.