sw_tn/luk/04/16.md

694 B

mahali yeye alipokuziwa

mahali wazazi wake walipomlelea " au "pale alipoishi alipokuwa mdogo" "mahali alipokulia"

kama ilivyokuwa desturi yake

"kama alivyofanya kila sabato." ilikuwa siyo mazoea ya kawaida kwenda kwenye sinagogikwenye siku ya sabato.

Yeye alipewa Gombo la nabii Isaya

Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "mtu fulani alimpa gombo la nabii Isaya"

Gombo la nabii Isaya

Hii inarejea kwenye kitabu cha Isaya imeandikwa kwenye gombo. Isaya aliandika maneno miaka mingi kabla, na mtu fulani mwingine aliyanukuru kwenye gombo.

mahali ambapo palikuwa pameandikwa

"mahali katika gombo palipo na maneno haya." Sentensi hii inaendelea katika mstari unaofuata.