# mahali yeye alipokuziwa mahali wazazi wake walipomlelea " au "pale alipoishi alipokuwa mdogo" "mahali alipokulia" # kama ilivyokuwa desturi yake "kama alivyofanya kila sabato." ilikuwa siyo mazoea ya kawaida kwenda kwenye sinagogikwenye siku ya sabato. # Yeye alipewa Gombo la nabii Isaya Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "mtu fulani alimpa gombo la nabii Isaya" # Gombo la nabii Isaya Hii inarejea kwenye kitabu cha Isaya imeandikwa kwenye gombo. Isaya aliandika maneno miaka mingi kabla, na mtu fulani mwingine aliyanukuru kwenye gombo. # mahali ambapo palikuwa pameandikwa "mahali katika gombo palipo na maneno haya." Sentensi hii inaendelea katika mstari unaofuata.