sw_tn/luk/04/14.md

964 B

Sentensi Unganishi:

Yesu alirudi Galilaya, akifundisha katika Sinagogi, na anawaambia watu pale kwamba yeye anatimiza maandiko ya Isaya nabii.

Ndipo Yesu alirudi

Hii inaanza simulizi jipya katika habari.

katika nguvu ya Roho

"na Roho alikuwa anampa yeye nguvu." Mungu alikuwa pamoja na Yesu kwa namna maalumu, anamwezesha yeye kufanya vitu ambayo kawaida watu wasingeviweza.

habari kumhusu yeye zikaenea

Wale waliomsikia Yesu waliwaambia watu wengine kuhusu yeye, na ndipo wale watu wengine waliwaambia hata zaidi kuhusu yeye. Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "watu wakaeneza habari kuhusu Yesu" au "watu waliwaambia watu wengine kuhusu Yesu" au "maarifa kumhusu yeye yalikuwa yakipita kutoka kwa mtu kwenda mtu mwingine"

kupitia katika eneo lote linalozunguka ukanda

Hii inarejea kwenye maeneo au mahali karibu na Galilaya.

likuwa anasifiwa na wote

"kila mmoja alisema mambo makuu kuhusu yeye" au "watu wote walimsema vizuri "