sw_tn/luk/04/14.md

24 lines
964 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Yesu alirudi Galilaya, akifundisha katika Sinagogi, na anawaambia watu pale kwamba yeye anatimiza maandiko ya Isaya nabii.
# Ndipo Yesu alirudi
Hii inaanza simulizi jipya katika habari.
# katika nguvu ya Roho
"na Roho alikuwa anampa yeye nguvu." Mungu alikuwa pamoja na Yesu kwa namna maalumu, anamwezesha yeye kufanya vitu ambayo kawaida watu wasingeviweza.
# habari kumhusu yeye zikaenea
Wale waliomsikia Yesu waliwaambia watu wengine kuhusu yeye, na ndipo wale watu wengine waliwaambia hata zaidi kuhusu yeye. Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "watu wakaeneza habari kuhusu Yesu" au "watu waliwaambia watu wengine kuhusu Yesu" au "maarifa kumhusu yeye yalikuwa yakipita kutoka kwa mtu kwenda mtu mwingine"
# kupitia katika eneo lote linalozunguka ukanda
Hii inarejea kwenye maeneo au mahali karibu na Galilaya.
# likuwa anasifiwa na wote
"kila mmoja alisema mambo makuu kuhusu yeye" au "watu wote walimsema vizuri "