sw_tn/luk/04/09.md

28 lines
769 B
Markdown

# ncha ya juu sana
Hii ilikuwa ni ncha kwenye paa la hekalu. Kama mtu akianguka kutokea kule, angejeruhiwa sana au kufa.
# Kama wewe ni mwana wa Mungu
shetani alikuwa anamkosoa Yesu athibitishe kwamba alikuwa Mwana wa Mungu
# Mwna wa Mungu
Hiki ni cheo mhimu kwaajili ya Yesu.
# jitupe mwenyewe chini
"ruka chini ardhini"
# Kwa kuwa imeandikwa
Ibilisi anamaanisha kwamba nukuu yake kutoka Zaburi inamaanisha Yesu hataumia kama ni Mwana wa Mungu. Hii inwaeza kusemwa wazi, kama inavyofanya UDB. NI: "Hutaumia" sababu imeandikwa"
# imeandikwa
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "mwandishi ameandika"
# Yeye atatoa maagizo
"Yeye" inarejea kwa Mungu. Ibilisi kwa sehemu alinukuu kutoka Zaburi kwa juhudi kumshawishi Yesu kuruka kutoka juu ya jengo.