sw_tn/luk/04/09.md

769 B

ncha ya juu sana

Hii ilikuwa ni ncha kwenye paa la hekalu. Kama mtu akianguka kutokea kule, angejeruhiwa sana au kufa.

Kama wewe ni mwana wa Mungu

shetani alikuwa anamkosoa Yesu athibitishe kwamba alikuwa Mwana wa Mungu

Mwna wa Mungu

Hiki ni cheo mhimu kwaajili ya Yesu.

jitupe mwenyewe chini

"ruka chini ardhini"

Kwa kuwa imeandikwa

Ibilisi anamaanisha kwamba nukuu yake kutoka Zaburi inamaanisha Yesu hataumia kama ni Mwana wa Mungu. Hii inwaeza kusemwa wazi, kama inavyofanya UDB. NI: "Hutaumia" sababu imeandikwa"

imeandikwa

Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "mwandishi ameandika"

Yeye atatoa maagizo

"Yeye" inarejea kwa Mungu. Ibilisi kwa sehemu alinukuu kutoka Zaburi kwa juhudi kumshawishi Yesu kuruka kutoka juu ya jengo.