# ncha ya juu sana Hii ilikuwa ni ncha kwenye paa la hekalu. Kama mtu akianguka kutokea kule, angejeruhiwa sana au kufa. # Kama wewe ni mwana wa Mungu shetani alikuwa anamkosoa Yesu athibitishe kwamba alikuwa Mwana wa Mungu # Mwna wa Mungu Hiki ni cheo mhimu kwaajili ya Yesu. # jitupe mwenyewe chini "ruka chini ardhini" # Kwa kuwa imeandikwa Ibilisi anamaanisha kwamba nukuu yake kutoka Zaburi inamaanisha Yesu hataumia kama ni Mwana wa Mungu. Hii inwaeza kusemwa wazi, kama inavyofanya UDB. NI: "Hutaumia" sababu imeandikwa" # imeandikwa Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. NI: "mwandishi ameandika" # Yeye atatoa maagizo "Yeye" inarejea kwa Mungu. Ibilisi kwa sehemu alinukuu kutoka Zaburi kwa juhudi kumshawishi Yesu kuruka kutoka juu ya jengo.