sw_tn/luk/04/08.md

772 B

Lakini Yesu alijibu ... imeandikwa

Utofauti huu unamaanisha kwamba Yesu alikataa kufanya kile alichoambiwa na Ibilisi. Itakuwa msaada kusema hiki wazi kwa hadhara yako. NI: "Lakini alijibu, 'Hapana, sitakuabudu wewe, kwa sababu imeandikwa" (UDB)

alijibu na akamwabia

"akamjibu" au "alimjibu"

Imeandikwa

Hii inaweza ikasemwa katika kauli tendaji. NI: "Musa ameandika katika maandiko"

Utamwabudu Bwana Mungu wako

Yesu alikuwa ananukuu amri kutoka kwenye maandiko kusema kwanini hataweza kumwabudu Ibilisi.

Wewe

Hii inarejea kwa watu katika Agano la Kale waliopokea amri ya Mungu. Unawea kutumia kauli ya umoja 'wewe' sababu kila mtu ilikuwa atiii, au ungetumia kauli ya wingi "ninyi" sababu watu walipaswa kuitii.

yeye

Neno "yeye" anarejea kwa Mungu.