sw_tn/luk/04/08.md

24 lines
772 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Lakini Yesu alijibu ... imeandikwa
Utofauti huu unamaanisha kwamba Yesu alikataa kufanya kile alichoambiwa na Ibilisi. Itakuwa msaada kusema hiki wazi kwa hadhara yako. NI: "Lakini alijibu, 'Hapana, sitakuabudu wewe, kwa sababu imeandikwa" (UDB)
# alijibu na akamwabia
"akamjibu" au "alimjibu"
# Imeandikwa
Hii inaweza ikasemwa katika kauli tendaji. NI: "Musa ameandika katika maandiko"
# Utamwabudu Bwana Mungu wako
Yesu alikuwa ananukuu amri kutoka kwenye maandiko kusema kwanini hataweza kumwabudu Ibilisi.
# Wewe
Hii inarejea kwa watu katika Agano la Kale waliopokea amri ya Mungu. Unawea kutumia kauli ya umoja 'wewe' sababu kila mtu ilikuwa atiii, au ungetumia kauli ya wingi "ninyi" sababu watu walipaswa kuitii.
# yeye
Neno "yeye" anarejea kwa Mungu.