sw_tn/luk/04/05.md

464 B

mahali pa juu

mlima mrefu

katika muda mfupi

hapo hapo au "kwa ghafla"

nimepewa mimi haya

Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. Huenda kwamba maana "wao" inarejea 1) mamlaka na fahari ya falme au 2) falme NI: "Mungu ameyatoa kwangu"

kama utainama chini ... kuniabudu

Kauli hizi mbili zinafanana sana. Zinaweza kuwekwa pamoja. NI: "kama utainama chini katika kuniabudu"

Itakuwa ya kwako

"Nitakupa wewe ufalme hizi zote, pamoja na fahari zake"