# mahali pa juu mlima mrefu # katika muda mfupi hapo hapo au "kwa ghafla" # nimepewa mimi haya Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. Huenda kwamba maana "wao" inarejea 1) mamlaka na fahari ya falme au 2) falme NI: "Mungu ameyatoa kwangu" # kama utainama chini ... kuniabudu Kauli hizi mbili zinafanana sana. Zinaweza kuwekwa pamoja. NI: "kama utainama chini katika kuniabudu" # Itakuwa ya kwako "Nitakupa wewe ufalme hizi zote, pamoja na fahari zake"