sw_tn/luk/04/05.md

20 lines
464 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mahali pa juu
mlima mrefu
# katika muda mfupi
hapo hapo au "kwa ghafla"
# nimepewa mimi haya
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. Huenda kwamba maana "wao" inarejea 1) mamlaka na fahari ya falme au 2) falme NI: "Mungu ameyatoa kwangu"
# kama utainama chini ... kuniabudu
Kauli hizi mbili zinafanana sana. Zinaweza kuwekwa pamoja. NI: "kama utainama chini katika kuniabudu"
# Itakuwa ya kwako
"Nitakupa wewe ufalme hizi zote, pamoja na fahari zake"