sw_tn/luk/04/03.md

912 B

Kama ni mwana wa Mungu

Ibilisi anamtega Yesu afanye muujiza huu ili kwamba athibitishe yeye ni "mwana wa Mungu"

hili jiwe

Ibilisi ama anashikilia jiwe au ananyooshea kidole kwenye jiwe lililokaribu.

Yesu alimjibu

Kukataa kwa Yesu kukosolewa na Ibilisi iko wazi kwenye jibu lake. Itaweza kusaidia kusemwa hili kwa wazi kwa kundi lako, kama inavyofanya UDB "Yesu alijibu, Hapana, sitafanya hivyo"

Hii imeandikwa

Nukuu inatoka kwa Maandiko ya Musa katika Agano la Kale. Hii inaweza kusemwa kwa kauli tendaji. NI: "Musa ameandika katika maandiko"

Mtu haishi kwa mkate pekee

Neno "mkate" linarejea kwenye chakula kwa ujumla. Chakula kama ukilinganisha kwa Mungu, chenyewe tu, hakitoshi, kumtosheleza mtu. Yesu ananukuu maandiko kwanini asibadili jiwe mkate. NI: "watu hawahawezi kuishi kwa mkate tu" au "siyo chakula tu ambacho kinamfanya mtu aishi" au "Mungu anasema vitu mhimu zaidi ya chakula"