# Kama ni mwana wa Mungu Ibilisi anamtega Yesu afanye muujiza huu ili kwamba athibitishe yeye ni "mwana wa Mungu" # hili jiwe Ibilisi ama anashikilia jiwe au ananyooshea kidole kwenye jiwe lililokaribu. # Yesu alimjibu Kukataa kwa Yesu kukosolewa na Ibilisi iko wazi kwenye jibu lake. Itaweza kusaidia kusemwa hili kwa wazi kwa kundi lako, kama inavyofanya UDB "Yesu alijibu, Hapana, sitafanya hivyo" # Hii imeandikwa Nukuu inatoka kwa Maandiko ya Musa katika Agano la Kale. Hii inaweza kusemwa kwa kauli tendaji. NI: "Musa ameandika katika maandiko" # Mtu haishi kwa mkate pekee Neno "mkate" linarejea kwenye chakula kwa ujumla. Chakula kama ukilinganisha kwa Mungu, chenyewe tu, hakitoshi, kumtosheleza mtu. Yesu ananukuu maandiko kwanini asibadili jiwe mkate. NI: "watu hawahawezi kuishi kwa mkate tu" au "siyo chakula tu ambacho kinamfanya mtu aishi" au "Mungu anasema vitu mhimu zaidi ya chakula"