sw_tn/luk/03/17.md

771 B

Pepeteo lake liko mkononi mwake

Kama mkulima alivyo tayari kutenganisha mbegu za ngano kutoka kwenye pumba hivyo, ndivyo ilivyo kwa Kristo alivyo tayari kumhukumu mwanadamu. AT: "Anashikilia pepeteo kwasababu yuko tayari."

Pepeteo

Hiki ni chombo cha kurushia ngano juu hewani kutenganisha mbegu kutoka kwenye pumba. Mbegu nzito huanguka kurudi chini na pumba azisizotakiwa hupulizwa mbali na upepo. Inafanana na kirushio.

Uwanda wake wa kupepetea

Mahali pa kupepetea ni eneo ambapo ngano iliwekwa katika kuiandaa kuipepeta. "Kusafisha" AT: "Eneo lake" au "Eneo ambako hutenganisha mbegu kutoka kwenye pumba"

Kukusanya ngano

Ngano ni nafaka inayokubalika kuitunza na kuhifadhi.

Kuzichoma pumba

Pumba hazitumiwi kwa chochote, hivyo, watu huyachoma zote.