# Pepeteo lake liko mkononi mwake Kama mkulima alivyo tayari kutenganisha mbegu za ngano kutoka kwenye pumba hivyo, ndivyo ilivyo kwa Kristo alivyo tayari kumhukumu mwanadamu. AT: "Anashikilia pepeteo kwasababu yuko tayari." # Pepeteo Hiki ni chombo cha kurushia ngano juu hewani kutenganisha mbegu kutoka kwenye pumba. Mbegu nzito huanguka kurudi chini na pumba azisizotakiwa hupulizwa mbali na upepo. Inafanana na kirushio. # Uwanda wake wa kupepetea Mahali pa kupepetea ni eneo ambapo ngano iliwekwa katika kuiandaa kuipepeta. "Kusafisha" AT: "Eneo lake" au "Eneo ambako hutenganisha mbegu kutoka kwenye pumba" # Kukusanya ngano Ngano ni nafaka inayokubalika kuitunza na kuhifadhi. # Kuzichoma pumba Pumba hazitumiwi kwa chochote, hivyo, watu huyachoma zote.