sw_tn/luk/03/12.md

12 lines
425 B
Markdown

# Kubatiza
Hii ingeweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Kwa Yohana kuwabatiza."
# Msikusanye fedha zaidi
"Msiombe fedha zaidi" au "Msitake fedha zaidi." Watoza ushuru walikuwa wakikusanya fedha zaidi kuliko walivyokuwa wanatakiwa. Wanapaswa kuacha kufanya hivyo.
# Zaidi kuliko mnavyotakiwa
Kifungu hiki kinaonyesha kwamba mamlaka ya watoza ushuru hutoka Rumi. AT: "zaidi kuliko kile Warumi wamewaamuru kuchukua."