# Kubatiza Hii ingeweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Kwa Yohana kuwabatiza." # Msikusanye fedha zaidi "Msiombe fedha zaidi" au "Msitake fedha zaidi." Watoza ushuru walikuwa wakikusanya fedha zaidi kuliko walivyokuwa wanatakiwa. Wanapaswa kuacha kufanya hivyo. # Zaidi kuliko mnavyotakiwa Kifungu hiki kinaonyesha kwamba mamlaka ya watoza ushuru hutoka Rumi. AT: "zaidi kuliko kile Warumi wamewaamuru kuchukua."