sw_tn/luk/03/12.md

425 B

Kubatiza

Hii ingeweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Kwa Yohana kuwabatiza."

Msikusanye fedha zaidi

"Msiombe fedha zaidi" au "Msitake fedha zaidi." Watoza ushuru walikuwa wakikusanya fedha zaidi kuliko walivyokuwa wanatakiwa. Wanapaswa kuacha kufanya hivyo.

Zaidi kuliko mnavyotakiwa

Kifungu hiki kinaonyesha kwamba mamlaka ya watoza ushuru hutoka Rumi. AT: "zaidi kuliko kile Warumi wamewaamuru kuchukua."