sw_tn/luk/03/10.md

377 B

Maelezo unganishi:

Yohana anaanza kujibu maswali ambayo watu kwenye mkutano wanamuuliza.

Walimuuliza, wakisema

"Walimuuliza na kusema" au Walimuuliza Yohana"

Alijibu na kusema kwao

"Aliwajibu, akisema" au "aliwajibu" au "alisema"

Fanya hivyohivyo

"Fanya jambo hilohilo." Inaweza kwa msaada kuelezea hasa inavyomaanisha. AT: "Mpe chakula mtu ambaye hana kabisa."