# Maelezo unganishi: Yohana anaanza kujibu maswali ambayo watu kwenye mkutano wanamuuliza. # Walimuuliza, wakisema "Walimuuliza na kusema" au Walimuuliza Yohana" # Alijibu na kusema kwao "Aliwajibu, akisema" au "aliwajibu" au "alisema" # Fanya hivyohivyo "Fanya jambo hilohilo." Inaweza kwa msaada kuelezea hasa inavyomaanisha. AT: "Mpe chakula mtu ambaye hana kabisa."