sw_tn/luk/03/10.md

16 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo unganishi:
Yohana anaanza kujibu maswali ambayo watu kwenye mkutano wanamuuliza.
# Walimuuliza, wakisema
"Walimuuliza na kusema" au Walimuuliza Yohana"
# Alijibu na kusema kwao
"Aliwajibu, akisema" au "aliwajibu" au "alisema"
# Fanya hivyohivyo
"Fanya jambo hilohilo." Inaweza kwa msaada kuelezea hasa inavyomaanisha. AT: "Mpe chakula mtu ambaye hana kabisa."