sw_tn/luk/03/09.md

12 lines
508 B
Markdown

# Shoka limeshawekwa dhidi ya mzizi wa miti
Shoka ambalo liko tayari kukata mizizi ya mti ni mfano wa adhabu iliyo karibu kuanza. Inaweza pia kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Mungu ni kama mtu aliyeweka shoka lake dhidi ya mzizi wa miti."
# Kila mti usiozaa tunda jema hukatwa chini
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Hukata chini kila mti usiozaa tunda jema."
# Kutupwa motoni
"Moto" pia ni mfano wa adhabu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Hulitupa ndani ya moto"