# Shoka limeshawekwa dhidi ya mzizi wa miti Shoka ambalo liko tayari kukata mizizi ya mti ni mfano wa adhabu iliyo karibu kuanza. Inaweza pia kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Mungu ni kama mtu aliyeweka shoka lake dhidi ya mzizi wa miti." # Kila mti usiozaa tunda jema hukatwa chini Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Hukata chini kila mti usiozaa tunda jema." # Kutupwa motoni "Moto" pia ni mfano wa adhabu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Hulitupa ndani ya moto"